BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME KATORO

D92A0053Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji Bibi Asha Ahmadi kutoka katika kijiji cha Shinyanga A wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa maji wa Nyakafuru ulofanyika katika kijiji cha Shinyanga A,Wilayani Mbogwe, Mkoani Geita leo asubuhi.
D92A0614Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto Pascal John aliyelazwa katika kituo cha afya Iboya Wilayani Mbogwe wakati Rais Kikwete alipozindua Wodi ya akina mama leo.D92A1277Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa Umeme Katoro,Mkoani Geita leo(picha na Freddy Maro)
Share on Google Plus

About Anonymous

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: