MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Snura Mushi amefiwa na kaka yake wa kuzaliwa nae anayejulikana kwa jina la Yusufu ambaye ni kaka yake wa kwanza kuzaliwa kwa marehemu baba yake Mzee Mushi.
Msiba huo umetokea Mlandizi baada ya kupigwa na radi kali jana asubuhi wakati marehemu akiwa shambani kwake Mlandizi.
SNURA akiongea na blog hii amesema wanazika leo huko huko Mlandizi muda wa saa kumi jioni.
Mungu alaze roho ya maehemu YUSUFU MUSHI mahala pema peponi. AMIN

0 comments:
Post a Comment