BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI ZAIDI YA WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI WILAYA YA MVOMERO MKOANI MOROGORO.

Mkazi wa Kigugu kata ya Hembeti, Bakari Kabua (54) akiuguza jeraha la kupigwa risasi eneo la mdomoni katika wodi ya majeruhi ya wanaume hospitali teule ya wilaya ya Mvomero baada ya kuzuka kwa vurugu zilizohusisha wakulima na wafugaji huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mmoja wa wafugaji kulisha mifugo katika shamaba la wakulima katika mashamba
yaliyopo Mkindo Novemba 4 mwaka huu na kupelekea watu zaidi ya wanne kupoteza maisha na wengine 39 kujeruhiwa kwa risasi katika mapigano ya ana kwa ana mkoani Morogoro. PHOTO/MTANDA BLOG
Huyu ni mmoja wa kijana akiingizwa katika wodi ya wanaume ya hospitali hiyo baada ya kujeruhiwa kwa risasi.
Kundi la vijana wenye mishale na upindi wakiwa tayari kwa kujibu mashambulizi dhidi ya wafugaji, hapa ni kijiji cha Mkindo.
 

 

Nesi wa Hospitali teule ya wilaya ya Mvomero Getruda Chambo kulia akishirikiana na mwenzake kumhudumia mmoja kati ya 39 aliyepigwa risasi baada ya kutokea vurugu za wakulima a wafugaji katika kata ya Hembeti wilayai humo na kusababisha vifo vya zaidi ya mtu mmoja kufariki dunia kwa kupigwa na risasi mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

POLENI MAJELUI WOTE