Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula wakati alipokwenda nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam Novemba 27, 2013kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae, Peter Philip Mangula kilichotokea Novemba 26, kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU MHE.MIZENGO PINDA AMFARIJI MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA), PHILIP MANGULA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula wakati alipokwenda nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam Novemba 27, 2013kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae, Peter Philip Mangula kilichotokea Novemba 26, kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Post a Comment