Mhudumu wa gari aina ya Noah akipakia mizigo ili kuweza kuanza kazi ya kusafari abiria kutoka Morogoro mjini kwenda katika wilaya mpya ya Gairo huku abiria wakiwa wanasubiri kumalizika kwa kazi hiyo ili waweze katika tukio lililonaswa mtaa wa Fondogolo mjini Morogoro.PHOTO/MTANDA BLOG.
Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiangalia gari aina ya Noah inayofanya safari kati ya Morogoro mjini na wilaya mpya ya Gairo ikiwa inafungwa mizingo katika paa la gari hilo muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kuelekea wilayani hiyo mkoani hapa, eneo la mtaa wa Fondogolo. baadhi ya gari hizo zimekuwa zikidaiwa kupakia abiria zaidi ya uwezo wake jambo linalichangia kutokea kwa majeruhi wengi na vifo vingi baada ya kutokea ajali. PHOTO/MTANDA BLOG.

0 comments:
Post a Comment