SELE anasema kuwa wakati anafanya album yake ya kwanza ya (Mkuki Moyoni) zaidi ya miaka kumi iliyopita kuna ile track ya MAYOWE REMIX
ilipigwa live band ingawa MAJANI alipiga kick.
Lakini BASE & SOLO
GUITAR alicharaza MZEE NGUZA (babu seya) mwenyewe na kuwa ukisikiliza vyema ile
kazi hiyo utasikia kila chombo kwa wakati wake ikiwa imechangiwa na ustadi wa
Mzee Nguza zaidi, mtoto wake ambae ni PAPII KOCHA aliyefanya chorus
ilikua vibe sana nakumbuka siku ile pale BONGO RECORDS.
Wakati huu ambao
anakaribia kutimiza miako kumi ya KING OF RHYMES i wish wangekuwepo
wangefanya kitu.
MFUNGWA, MFUNGWA NI NANI ? IMAM, RAIS. ASKOFU, MWALIMU,
HAKIMU, JAJI, MASIKIN, TAJIRI, MCHUNGAJI anaweza kuwa mfungwa.
MUNGU ni muweza wa yote na hashindwi na chochote anaamini kabisa watakuwa pamoja uraiani siku moja na kuongeza kuwa anawapenda na kuwaombea na maelfu ya Watanzania wako
pamoja nao. alisema Afande Sele.
0 comments:
Post a Comment