
Muonekano wa basi la Ukinga Express lenye namba za usajili T 522 CCK kama linavyoonekana mara baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Lwamadovela kata ya Tandala wilayani Makete.


Fuso iliyogongwa kwa nyuma na basi la Ukinga Express

basi la Ukinga express linavyoonekana kwa nyuma

mashuhuda wakiangalia basi hilo lilivyoumia baada ya kugonga fuso kwa nyuma


Wajuze wenzako habari hii :
Credit: edwinmoshi.com
0 comments:
Post a Comment