
Mods tunaomba postive na Negative Pictures anachokutana nacho Dr. Slaa ziruhusiwe hapa.
Jukwaani, naona watu wamekaa kusifiana tu hapa.
Ukweli ni Kwamba Dr. Slaa amekutana na wakati Mgumu akiwa Kigoma. Picha zingine zitakuja na saa mbili Usiku ITV, TBC NA STAR TV wataonesha hali ya leo Kigoma walivyojitokeza Kupinga Ujio wa Dr. Slaa. http://sangafesto.blogspot.com


0 comments:
Post a Comment