Wafanyakazi wa wakala wa barabara mkoa wa Morogoro wakiondoa vipande vya matofali vilivyojengewa tuta katika barabara ya Korogwe eneo la makao makuu ya tenesco ili kuweza kuweka tuta lingine kutoakana na tuta la mwanzo kuwa kubwa na kero kwa watumiaji wa barabara hiyo mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment