Ofisi ya zinazodaiwa kuwa ni za Chadema mkoa wa Arusha imechomwa moto hivi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea..Kwa habari zaidi endelea kutembea ili kuweza kukujuza kinachoednelea Hili tundu ndilo linalodaiwa wahalifu kuingia ndani na kufanya uhalifu huo.
0 comments:
Post a Comment