Tyrese alishindwa kujizua kutoa machozi baada ya kufika sehemu ambayo ajali iliyotoa uhai wa Walker ilitokea huko Santa Clarita California.
Hapa ni Paul Walker, Vin Diesel na Tyrese wakiwa kwenye movie premiere uko Leicester Square, London mwaka huu.
Haya ndiyo mabaki ya gari aina ya ferrari iliyomuua Paul Walker siku ya jumamosi huko Santa Clarita California. Paul walker ni star wa movie aliefariki akiwa na umri wa miaka 40, wapenzi wa movie wata mkumbuka hasa pale watakavyokuwa wanaangalia movie aliyo cheza akiwa pamoja na akina Tyrese naVin Diesel.
0 comments:
Post a Comment