HIKI NDICHO KINACHODAIWA TOKEA KIGOMA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA WAKATI DK SLAA AKIWA JUKWAANI.
KUNDI LA VIJANA WANAODAIWA KUWA WAFUASI WA CCM WAMEVAMIA NA KURUSHA MAWE KATIKA MKUTANO WA CHADEMA WAKATI DR SLAA AKIWA JUKWAANI AKIHUTUBIA WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA MUDA SI MREFU.
HALI HIYO INADAIWA NI KUSHINIKIZA KUREJESHWA KATIKA UONGOZI ALIYEKUWA NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA HICHO ZITO KABWE AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI AMBAPO JESHI LA POLISI LIMELAZIMIKA KUPIGA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA KUNDI HILO.
2 comments:
Hiyo picha ni ya Mbagala, baada ya sakata la mtoto kukojolea Quran
Chama kinachokufa ni ccm.Hebu tazama kwa umakini utaona ccm inatumia nguvu kubwa kupambana na chadema na utaona nguvu yao ccm imegonga mwamba wakina chadema wameshituka mapema na kuwafyeka wasaliti ambao wangekiangamiza chama. ukitazama pia kwa umakini hiliswala utaona limewaogopesha sana ccm. chadema itavuka hiki kikwazo na itachukua dola 2015 kirahisi ccm hawajui wanaipigia debe chadema ishinde kwa vitendo vyao vinavyo onekana waziwazi kama vile kuandaa watu kwa garama kuharibu mikutano ya chadema huko kigoma,kuwanunua wakina zito,kitila, said arfi na wengine wengi nasema wengi kwa sababu pesa aliyopewa zito aliitumia kuwannua viongozi wandamizi wa chadema mikoani. mfano juzi hivi nikiwa ndani sa usafiri mjadala ukaanza 99% wakaunga mkono maamuzi ya kamati kuu chadema mmoja alikuwa akipinga sana basi lote lilimshambulia sana akapigwa swali kwa jinsi alivyokuwa amepaniki akalopoka msaada aliopatiwa na zito mil12 + ushauri wa kibiashara na akajitambulisha yeye ni diwani wa kahama(nyasubi). Hapa ccm wanajichanganya tu watanzania 99% tunaona na tutawapiga chini vibaya kwa aibu!!!
Post a Comment