
Mwaka 2009 kwa mara ya kwanza Obama alimwita Kanye Jack Ass baada ya Kanye Kupinga ushindi wa Taylor Swift kushinda tuzo ya Best Female Video MTV ..Kanye West alivamia jukwaa na kupinga uteuzi huo.
Juzi Tena katika Mahojiona fulani na TV moja Huko Marekani Obama Aliulizwa Jay z na Kanye Yupi Unamchagua Ombana Akajibu Jay z, na Obama akaulizwa kama bado anamchukulia Kanye kama Jack Ass ..na akajibu hivi:
“He is a jackass,” Obama said. “But he’s talented.”
0 comments:
Post a Comment