HUYU NDIYE MPENZI WAKE T.I.D ALIYEMTANDIKA MAKOFI KISHA KUSWEKWA RUMANDE JANA JIJINI DAR ES SALAAM.
Huyu Ndio Mariam Nnauye.
TAARIFA zinasema kuwa ugomvi ulianza Maisha Club jana usiku baada ya TID kumkuta Mpenzi wake akiongea na mwanaume mwingine bila ruhusa ya Top In Dar na ndio Top akamvuta mpenzi wake na kumpiga makofi.
Bila kijali mapenzi yao binti huyo alikwenda moja kwa moja kituo cha polici Osterbay na kutoa taarifa ya kupigwa na Tid na kusokwa rumande.
Tid ametoka muda wa saa tano asubuhi ya leo kwa Dhamana na anatakiwa kuripoti tena kituo cha Polisi siku ya Jumatatu Dec 02 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment