KIJANA mkazi wa Manispaa ya Morogoro mtaa wa Bima kata ya Kihonda akichagua bidhaa kutoka kijana aliyekuwa akitembeza bidhaa ambalimbali zikiwemo ungo, banio na kalai kwa ajili ya kusaka soko kwa wateja wake ikiwa njia mojawapo ya kujiajiri na kujiingizia kipato halali mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.
0 comments:
Post a Comment