BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KAULI MBIU YA GESI KWANZA NA VYAMA BAADAYE PALE MTWARA SASA YAUEGEZWA KIDOGO MKOANI KIGOMA NI ZITTO KWANZA CHAMA BAADAE IKIWA NJIA YA WANAKIGOMA KUMUUNGA MKONO MHE ZITTO KABWE KUFUATIA KUVULIWA VYEO NDANI YA CHADEMA.

 
BANGO LENYE UJUMBE UNAOSOMEKA "Zitto Kwanza, Chama baadaye" ukisomekwa hivyo wakati wa ziara ya Dk Slaa mkoani Kigoma ambako baadhi ya vijana waliandamana kupiga ujio wa kiongozi huyo wa ngazi ya juu ya Chadema ikiwa njia mojawapo ya baadhi ya wakazi wa Kigoma kumuunga mkono Mhe Zitto Kabwe kuvuliwa vyeo ndani ya chama hicho hivi karibuni na wenzake. PICHA KWA HISANI YA THADEI MUSHI.





 



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: