Waziri
mkuu Mizengo Kayanda Pindaa (katikati) akizungumza wakati akiongea na
Kingunge Ngombalemwile kulia na mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera
mara baada ya Waziri kuhudhuria mahafali ya chuo kikuu cha Mzumbe
kilichopo wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro. PHTO/MTANDA BLOG.
Mhe Hamis Madole akicheza muziki na mkewe Mwanaisha katika hafla hiyo.
Mtoto
wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na
wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto)
baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya
Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mtoto
wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (Kulia) akipongezwa na
mdogo wake Nasirika Nyema baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya
Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe
Mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment