BREAKING NEWS !!! AJALI YA MALORI YASABABISHA WATU SABA KUFARIKI DUNIA ARUSHA MTI MMOJA. mtanda blog 4:07 PM Edit PICHA YA MAKTABA. Watu saba wamefariki dunia papohapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya malori mawili kugongana katika eneo la Mti Mmoja wilayani Monduli mkoani Arusha. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment