BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAZIRI MKUU ATEMBELEA NYUMBANI KWA DK WILLIAM MGIMWA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAZIKO NA KUTOA POLE KWA WAFIWA.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa kutoa pole na kuangalia maandalizi a mazishi Januari 5, 20134.
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa Fedha, Dr. WilliamMgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji cha Magunga, Iringa kuwapa pole wafiwa na kukagua maadalizi ya mazishi Desemba 5, 2014



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha Magungua, Iringa kuwapa pole na kukagua maandalizi ya mazishi Desemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji baada a kuwasili nyumbani kwa aliyekuwa Wazri wa Fedha, Dr. William Mgimwa katia kijiji cha Magunga ambako alikwenda kutoa pole na kukagua maandalizi ya mazishi Januari 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: