Dr. Shein alitangaza baada ya kunong'onezana na Rais Jakaya Kikwete na wote kukubaliana itakuwa ni sikuu ya Mapinduzi nchi nzima. Hayo yalitokea katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
DK SHEIN ATANGAZA NEEMA KWA WAFANYAKAZI WA TANZANIA KUPITIA SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO.
Dr. Shein alitangaza baada ya kunong'onezana na Rais Jakaya Kikwete na wote kukubaliana itakuwa ni sikuu ya Mapinduzi nchi nzima. Hayo yalitokea katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

0 comments:
Post a Comment