
ABIRIA wakitoka kwenye mabehe ya treni ya abiria mara baada ya treni ilikuwa ikitokea bara kwenda jijini Dar es Salaam ikitokea Kigoma kukwama mjini Dodoma.

Hapa baadhi ya abiria wakiwa wamejipumzisha ili kutuliza mawazo ya kukwama kwa safari yao.
Wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kuchukua fedha sh3,500 kwa ajili ya kujikimu baada ya treni yao kukwama mjini Dodoma.

Baadhi yao walijipumzisha ndani ya treni hiyo wakisubiri hatma ya safari yao kuelekea jijini Dar es Salaam.PAMOJA BLOG

0 comments:
Post a Comment