BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DIVA WA CLOUDS ETI ACHAMBWA KISA MAKALIO YA BANDIA.

Huddah kushoto na Diva kulia.
Diva Loveness Love apewa maneno mazito na matusi kutoka kwa mashabiki wanaomfatilia katika kazi zake za hapa na pale. katika kauli hiyo shabiki huyo alifunguka na kumjadili Diva vya kutosha.
Nanukuu "Huyu diva hivi ana akili kweli kudanganya watu kweupe ndio nini ... Embu angalieni hiyo picha ndio mtaelewa Yani Kabisa milima na mabonde kuvaa godoro ndio ili iweje ... Diva acha ujinga unachekwa mjini kwa kutafuta tako kinguvu acha kuvaa maana shape inajulikana ni Ya simba,, cha ajabu ukikutana nae hayupo hivyo kabisaaaaaaa... Na camera 360 acha kabisa unajipimp sana wakati We ni mbaya kuvaa malenz mwisho utapata macancer Ya macho Bure... ... Swala ni kuacha kuvaa matako bandia usishindane na hudda mwenzio kaajaliwa"
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: