BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

FAINI KUBWA KWA DALADALA YASABABISHA MGOMO JIJINI MWANZA LEO.


Wamiliki wa daladala zinazotoa huduma ya usafiri katika jiji la Mwanza na vitongoji vyake wamefanya mgomo wa kusitisha huduma hiyo kwa madai ya askari wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabara kuwatoza madereva faini kubwa.

Katika mgomo huo umesababisha sehemu kubwa ya wafanyakazi na watumiaji wengine kupanda malori, pickup na pikipiki za mafurudumu matatu maarufu kama bajaj.








Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: