Yanga yasababisha makao makuu ya Al Ahly kuvamiwa huko Misri, ni baada ya timu hiyo kukubali kichapo cha goli moja kwa sifuri jijini Dar es Salaam.MASHABIKI WA TIMU YA AL AHLY
WALIKASIRIKA NA MATOKEO YA TIMU YAO KUFUNGWA NA YANGA NA KUAMUA KUVAMIA MAKAO MAKUU YA CLUB HIYO...TAARIFA ZAIDI NA PICHA ZITAWAJIA PUNDE.

0 comments:
Post a Comment