BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIKI NDICHO KINACHOTAJWA KUWA NDIYO CHANZO CHA BIFU KATI DIAMOND NA ALI KIBA !!!!.

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/02/Ali-Kiba.jpgALLY KIBA.c0fff75296e811e29fb622000aaa1012_7 

DIAMOND 

Kwa baaadhi ya watu imekuwa ni ngumu kuamini kuwa msanii akisema kuwa hackers kwenye mitandao hii ya kijamii ndio chanzo halisi cha baadhi ya Beef zinaotokea ,haswa zile zinaotokea kutokana na kutumiana message kusema jambo baya kwa mwenzie,hii yote inatokea kutokana na watu wanaotaka kujinufaisha na mambo yao wenyewe kupitia account binafsi za watu maarufu na kutengeneza beef kwa kuwatumia message za kukejeli..imekuwa hadi kero hivi sasa kwa watu maarufu na wengine kusababisha kujitoa kabisa katika mitandao hiyo ya kijamii kuepukana na vitu kama hivi vinavyozidi kutokea siku hadi siku.



Ya Kala Jeremiah kati ya  Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

Hii ni moja ya beef iliyotengenezwa na hawa hackers wa mitandao iliyosababisha na kugeuka kuwa beef la ukweli ambapo umeweza kuleta maoni na muonekano  tofauti kwa mashabiki wa wasanii hawa ,ingawa ukweli ni kwamba watu wanaojiita hackers ndio wameandika haya yote kwa sababu zao binafsi na si wasanii hawa,hadi kuishia kwa msanii Diamond kujibu mapigo kupitia account yake ya instagram kuhusu bifu na maneno yanayosemwa na wasanii wenzake wanaojaribu kusema mambo hayo kuhusu yeye.

Mambo yalianza kama hivi baina ya Ali Kiba Na Diamond kupitia Facebook:

Screenshot_2014-02-26-13-09-30

Naye Diamond aliamua kujibu maneno haya kupitia account yake ya Instagram baada ya ukimya wa muda:

diamond platnumz abwatuka

Baada ya shutuma hizo zilizosababishwa na watu wengine kabisa wanao-hack account zao na mashabiki kushangazwa na kuwa kalla jeremiah si kawaida yake kutoa maneno kama hayo tena kwa wasanii wenzake ,aliamua kuja na kuweka wazi shutuma hizo na kuzidi kuonyesha kuwa ni kazi ya hackerz wa mtandao huo wa facebook ndio wanaotuma message hizo kupitia account yake binafsi.

Screenshot_2014-02-27-09-27-45 copy

Hii yote bila kujua chanzo halisi cha baadhi ya message hizi mashabiki wataendelea kujenga munekano mbaya na kusababisha wasanii kuzidi kupoteza baadhi ya mashabiki kutokana na mambo kama haya,haswa kipindi hiki cha ambacho technology imezidi kukua na kuweza kufanya mtu asiyehusika kuweza kusababisha jambo lolote ili tu mwenzake kuonekana m’baya.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: