Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuuy)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
HII TASWIRA NYINGINE YA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Ameir Kificho akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba alipowasili katika ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma kushoto kwake ni Bw. Mohamed Mbwana, katikati ni Rufai said Rufai na Kulia kwa Mwenyekiti ni Bw. Heri Khatibu.
Mjumbe wa Bunge la Katiba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia na Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi Charles Tizeba wakiwasili katika ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba akitoa mapendekezo yake kuhusu taratibu za upigaji kura unaoangalia maridhiano ya misingi ya kidemokrasia .Kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum Prof. Mark Mwandosya na mbele ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa.wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.

0 comments:
Post a Comment