MWENYEKITI wa Muda wa Bumge maalum La Katiba Mh Pandu Kificho Amelazimika kuahirisha Semina ya Bunge Maalum ya kujadili Kanunu za Bunge Maalum la Katika Inayoendelea Mkoani Dodoma Kutokana na Vuruguru Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka. Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Sababu ya mabishano yaliyosababisha kikao kuahirishwa ni baadhi ya wajumbe kupinga Ole Sendeka kuchangia mabadiliko ya kanuni
0 comments:
Post a Comment