BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

YANGA YAIBEEP NATIONAL AL AHLY KOMBE LA MABINGWA BARANI AFRIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM KWA KUILAZA BAO 1-0.


Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo uliomalizika kwa Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jijini Dar es Salaam. CHANZO MTAA KWA MTAA BLOG

Kikosi cha Yanga

Kikosi cha Al Ahly

Kiungo mchezeshaji wa Yanga, Haroun Niyonzima akitafuta namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Al Ahly ya Misri katika Mchezo huo.

Kiungo mchezeshaji wa Yanga, Haroun Niyonzima akizuiwa na Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri, Ramy Abdel Aziz katika Mchezo.
Kipa wa timu ya Al Ahly ya Misri,Sherif Ekramy Ahmed akidaka mpira ikiwa ni moja ya hatari iliyokuwa ikielekeshwa langoni kwake na Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: