JANA katika Kipindi cha leo Tena
Mwanadada Wema Sepetu Aliulizwa kwanini Siku hizi ananenepa sana kiumbo
na Mwanadada huyo mrembo alijibu moja kwa moja kuwa ananenepa kwa sababu
ana amani ya moyo kwa vile
yupo na mtu kimapenzi ampendaye kuliko wote duniani...Nadhani wote
mnamjua ni nani? Mapenzi raha Bwana asikwambie mtu ukimpata akupendaye
na wewe anakupenda lazima unenepe.
0 comments:
Post a Comment