BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MBINU MPYA YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA NDIYO HII, WAJAWAZITO WAHUSISHWA KUBEBA.


Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya kulevya.Sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa ya kulevya kwa kuwatumia waja wazito kwa kuwa huwa hawakaguliwi kwenye x ray za airport ....siku za karibuni wamekamatwa wanawake kadhaa wajawazito ambao walikuwa wamemeza madawa ya kulevya ...Njia nyingine inayotumika ni kusafirisha madawa hayo kwa kutumia Cargo ambayo ni mizigo mikubwa ambayo huwekwa nyuma ya ndege chini .
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: