Adam Kuambiana.
Chanzo cha habari kimeripotia kwamba msanii Adam Kuambiana amefariki leo muda mchache uliopita baada ya kuanguka ghafla wakati akiwa location akiwajibika katika shughuli zake za sanaa na kuwahishwa haraka katika hospitali ya Maria Stopas ilioko Sinza Afrika Sana jijini Dar es Salaam.
Umauti ulipomkuta, Taarifa zaidi kuhusu msiba huu endelea kufatilia hapa.Chanzo website masainyotambofu.com

0 comments:
Post a Comment