BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PAKA AONYESHA MAAJABU BAADA YA KUSIMAMA WAKATI WIMBO WA TAIFA UKIIMBWA HUKO KWA WENZETU,

Screen Shot 2014-05-29 at 9.49.45 AM 
Ni kawaida, kwa heshima ya wimbo wa taifa kila raia wa nchi husika husimama au kutii taratibu zote za utulivu kila wimbo wa taifa unapopigwa.

Sasa kwenye hii ya leo ni kuhusu Paka mmoja huko Urusi ambae aliamua kufata taratibu hizo za binadamu kwa kusimama sekunde chache tu baada ya kusikia wimbo huo ukipigwa kutoka kwenye simu ya mwenye nyumba.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: