![]() |
| Cristiano Ronaldo, katika harakati zake uwanjani |
Kocha msaidizi wa Real Madrid, Zinadine Zidani "Zizu" (Kushoto), akibwata huku kocha mkuu wa timu hiyo, Carlo Ancelotti akimtazama, wakati timu hiyo ikiwa nyuma kwa bao 1-0 dhidi ya Atletico Madrid, kabla ya kuzinduka kwa kusawazisha bao kwenye muda wa nyoingeza klupitia mlinzi Sergio Ramos
Ramos akishangilia bao lake la pili
Ika Casilas, akihuzunika baada ya kupigwa bao la kwanza na Atletico Madrid
Mpira wa kichwa uliopigwa na Diego Godin wa Atletico Madrid
Diego Godin wa Atletico Madrid, akishangilia bao lake la ufunguzi, kabla ya chombo kwenda mrama na kulambwa mabao 4-1 kutoka kwa mahasimu wao Real Madrid.
HII NDIYO VIDEO YA BAO ZOTE ZA MCHEZO HUO.


0 comments:
Post a Comment