Afisa habari wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Rashid Nchimbi kulia akiwa na mmiliki wa Mtanda Blog, Juma Mtanda kushoto wakati afisa huyo alipowatembelea na kukutana na wadau mbalimbali wa
habari katika ziara ya kukuza mahusiano Manispaa ya Morogoro.
Afisa habari wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha, Mkaguzi Msaidizi wa
Polisi, Rashid Nchimbi (katikati) akiwa na mmiliki wa Mtanda Blog, Juma
Mtanda kulia na Mkurugenzi wa Kampuni ya K3 Technology Limited Dar es Salaam, Jackson Kaponda kushoto wakati afisa huyo alipowatembelea na kukutana na wadau mbalimbali wa
habari katika ziara ya kukuza mahusiano Manispaa ya Morogoro.
0 comments:
Post a Comment