Mkurugenzi Mtendaji wa Uwekezaji Tanzania Charles Senkondo akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo ya wafanyakazi wanaokaribia kustaafu kazi kutoka taasisi za serikali za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Wakala wa majengo Tanzania (TBA) na TTSA Morogoro ikihusisha washiriki 25 inayoendelea kufanyika mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG.
Mkurugenzi wa masoko na mahusiano Daud Mbaga Kutoka Dhamana ya Uwekezaji Tanzania akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo ya wafanyakazi wanaokaribia kustaafu kazi kutoka taasisi za serikali za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Wakala wa majengo Tanzania (TBA) na TTSA Morogoro ikihusisha washiriki 25 inayoendelea kufanyika mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya wafanyakazi wanaokaribia kustaafu kazi kutoka taasisi za serikali za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Wakala wa majengo Tanzania (TBA) na TTSA Morogoro ikihusisha washiriki 25 inayoendelea kufanyika mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.
PICHA YA MAOJA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MAFUNZO HAYO LEO MOROGORO HOTELI.
0 comments:
Post a Comment