BREAKING NEWS !!.: NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE ALGERIA YAPOTEZA MAWASILIANO ANGANI. mtanda blog 3:06 PM Edit Ndege ya Shirika la Algeria yenye nambari AH-5017 inayokadiriwa kuwa na watu zaidi ya 100 imepoteza mawasiliano na Shirika la Ndege hiyo dakika 50 mara tu baada ya kuruka kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ouagadougou nchini Burkina Faso. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment