BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ASKOFU WA JIMBO KUU LA MOROGORO AKUTANA NA DAKTARI BINGWA WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI MOROGORO.

ASKOFU TELESPHORY MKUDE WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOA WA MOROGORO AMEKUTANA NA DAKTARI BINGWA WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI ANTHONY PAIS KUTOKA BANGAROLE INDIA.

Baba Askofu wa jimbo la Morogoro, Telesphory Mkude kulia akizungumza jambo na ujumbe uliofika ofisini kwake kwa lengo la kujenga kituo cha kutibu saratani ya matiti kwa akinamama mkoani Morogoro.

Nyumba ya maombi ya baba Askofu Telesphory Mkude iliyopo mkoani Morogoro.

Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira aliyemleta Profesa Pais hapa nchini kuja kuona namna ya kusaidia mchakato huo akizungumza na baba Askofu Telesphory Mkude.

Baba Askofu Mkude akimsikiliza kwa makini Profesa Pai wakati akimuelekeza mambo mbalimbali.

Baba Askofu Mkude (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe huo. Kutoka kulia ni Dk.Fred Limbanga, Profesa Pais, Mshauri wa Kamataifa wa Kujitegemea James Rugemalira na Msaidi wa Baba Askofu, Father Moses.

Mshauri wa Kamataifa wa Kujitegemea James Rugemalira (kulia), akimsisitizia jambo Baba Askofu Mkude.

Mshauri wa Kamataifa wa Kujitegemea James Rugemalira (kulia), akiagana na Baba Askofu Telesphory Mkude.

Mshauri wa Kamataifa wa Kujitegemea James Rugemalira (kulia), akizungumza na Father Moses pamoja na Profesa Pais na Dk.Fred kabla ya kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma.

Baba Askofu Telesphory Mkude akitafakari jambo na Dk.Fred Limbanga

Mmiliki wa Mtandao wa www.habari za jamii.com, Dotto Mwaibale (wa pili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkude na ujumbe huo.

Msaidizi wa Askofu Mkude, Father Moses akionesha eneo ambalo wanaona linafaa kujenga kituo hicho baada ya mchakato kukamilika
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: