BREAKING NEWS !!!. MWILI WA MLEMAVU WA NGOZI (ALBINO) WAKUTWA UMETUPWA SHAMBA LA MIWA SEGEREA-KINYEREZI UKIWA UMENYOFOLEWA MACHO JIJINI DAR ES SALAAM.
Sehemu ya umati wa wananchi wakifuatilia tukio hilo.
Mtu mmoja mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) ameuawawa na watu waliojulikana kisha mwili wake kutelekezwa katika mashamba ya miwa jijini Dar es Salaam.
KUTOKANA NA MAADILI TUMESHINDWA KUONYESHA PICHA ZA MAITI ZA TUKIO HILO.
Mwili huo ulitupwa eneo la Segerea Kinyelezi ambapo watoto waliokuwa wakikata miwa kuona mwili huo ukiwa umeharibika huku umekatwa shingo na kung'olewa macho yote mawili.
Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea hapa mara kwa mara kujua kinachojiri.
0 comments:
Post a Comment