TANURI LA KUTENGENEZEA SILAHA ZA JADI KWA AJILI YA VITA NA ULINZI NDILO HILO, LIPO MBEYA.
Tanuri lililotumiwa na wahunzi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, kwa ajili ya kuyeyushia udongo wenye madini ya chuma na kuutumia kutengenezea zana mbalimbali ikiwemo silaha za jadi, kwa ajili ya vita na ulinzi.
Mabaki ya tanuri hili la asili, yapo katika moja ya mapori yaliyopo kwenye Kata ya Kapele wilayani Momba mkoani Mbeya. (Picha na Joachim Nyambo).
0 comments:
Post a Comment