DAKTARI BANDIA ACHANGANYA DAWA KIHOLELA KISHA KUMWEKEA MGONJWA NA MUDA MCHACHE KUFARIKI DUNIA SINGIDA.
Vitendo vya watu kujifanya watumishi wa idara mbalimbali hapa nchini vimekuwa vikiendelea kukithiri, baada ya mtu moja katika kijiji cha Iyumbu wilaya ya Ikungi mkoani Singida kujifanya daktari na kusababisha kifo cha mgonjwa kwa kumwekea chupa za maji tisa zikiwa zimechanganywa na dawa pamoja na vidonge sita ambavyo havikufahamika maramoja.
0 comments:
Post a Comment