TIMU ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' imeondolewa katika mashindano ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika kwa mwaka 2015 kufuatia kulala kwa bao 2-1 na timu ya Taifa ya Msumbiji 'MAMBAZ' leo Mjini Maputo.
Mechi hiyo imepigwa Maputo nchini Msumbiji ambapo Stars imeondolewa kwa jumla ya mabao 4-3 baada ya sare ya 2-2 katika mchezo kwa kwanza uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar Julai 20 mwaka huu.

0 comments:
Post a Comment