BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JENGO LA MAKAO MAKUU YA IDARA YA USALAMA WA TAIFA LASHAMBULIWA HUKU WATU 10 KUFARIKI DUNIA.

 
Moja ya matukio ya uvamizi, Askari wa jeshi la Somalia wakipita mbele ya mwili wa askari mwenzao baada ya makomandoo wa al-Shabaab kulishambulia bunge la Somali huko Mogadishu tarehe 24 Mei, 2014.


Shambulio dhidi ya makao makuu ya idara ya usalama ya Somalia mjini Mogadishu limeuwa watu 10.

Wakuu walisema saba kati ya hao ni wapiganaji wa al-Shabaab ambao waliingiza kwa nguvu gari lilojaa mabomu katika uwa wa jengo hilo ambalo lina ulinzi mkali.

Tena washambuliaji walijaribu kuingia ndani ya jengo.

Al-Shabaab ilisema ilifanikiwa kuwaachilia huru wafungwa wengi katika makao makuu hayo, ambayo yana gereza chini kwenye handaki na pahala pa kuhoji wafungwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: