BREAKING NEWS !!!! MGOMO: MASHINE ZA EFD NI SHIDA, MADUKA YAFUNGWA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM. mtanda blog 9:53 AM Edit Picha hali Ilivyosasa kariakoo ambapo Wafanyabiashara wamefunga Maduka Yao ikidaiwa Kupinga matumizi ya mashine ya EFD..Hii ndo hali ilivyo asubuhi hii wafanyabiashara wa soko la kariakoo leo wamefunga maduka yao. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment