JIJI LA MBEYA LATEKETEZA MADAWA YA KULEVYA YA SH 1.8 BILIONI.
Madawa ya kulevya yenye thamani ya sh 1.8 Bilioni yakiteketezwa kwa kumbukizwa katika tanuru la moto mkali ili kuweza kuyuka chini ya ulinzi mkali wa askari wa jeshi la polisi mkoani Mbeya. Dawa hizo ni zile ambayo zilikamatwa mpaka mwa Tunduma mwaka 2010 washukiwa wakiwa ni raia wawili wa Afrika kusini, Vuyo Jack na mkewe Anastazia Cloete.
Dawa hizo za kulevya zateketezwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi.
Raia wawili wa Afrika kusini, Vuyo Jack, na mkewe Anastazia Cloete. wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa hayo Kesi yao bado inaendelea. Credit:Mbeya yetu.
0 comments:
Post a Comment