BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MBUNGE WA MCHINGA MHE SAIDI MTANDA AMTOLEA UVIVU MHE JOSEPH MBILINYI (SUGU) BAADA YA KUMKEJELI WAZIRI MEMBE.

 
Said Mtanda
Kwa Kauli hizi Mbunge wa Mbeya Mh. Joseph Mbilinyi hujatumia busara.. Tazama retweett ya John Mnyika hukupaswa ulete siasa katika jambo kama hili
RETWEETTED POST

@‪#‎Lady_JayDee‬ "Hongera sana Muheshimiwa waziri kwa msaada wako"
@‪#‎Ridhiwani_Kikwete‬ "Unastahili pongezi kwa mchango wako dhidi ya watanzania"
@‪#‎John_Mnyika‬ "Bila kujali vyama kwa hili nakupongeza na pia nawapongeza Taasisi ya Vicoba kwa mikopo wanayotoa isiyokua na riba kubwa, nimepata nafasi yakutembelea tovuti yao www.vicobatanzania.wapka.mobi nakuona jinsi taratibu zao za utoaji mikopo, naimani itawasaidia sana watanzania kwa mahitaji ya mikopo."
@‪#‎Shy‬-Rose_Bhanji "Pongezi kwao vicoba, pongezi kwako Comrade Benard Membe"
@‪#‎Said_Fella‬ "good work @Mh. Membe nakupongeza kwa mchango wako katika jamii"
@‪#‎Joseph_Mbilinyi‬ "Watanzania hawataki Propaganda ni vizuri ulivyojitolea ila haina mana kutangaza tunajua 2015 inakaribia ndio mnaanza kusaidia watanzania hahahaha.. hiyo Taasisi ya Vicoba tunafahamu ipo muda mrefu na mara kwa mara hata katika vikao vya bunge hua tunawashauri watanzania kujiunga na vicoba katika mfuko wa focus vicoba na tovuti yao hawa vicoba www.vicobatanzania.wapka.mobi imezinduliwa tokea mwaka 2012 mbona hukuwahi kutoa msaada? Unangojea karibia na uchaguzi 2015, Duh jipange upya."
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: