JAJA APIGA MBILI YANGA IKIITANDIKA AZAM FC 3-0, NGAO YA JAMII YAENDA JANGWANI TENA Kocha Marcio Maximo akimpongeza Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Bao lingine lilifungwa na Simon Msuva.
0 comments:
Post a Comment