Manchester United walipata bao tatu dakika ya 57 kupitia kwa Aguera Ander Herrera lakini wachezaji wa Leicester walicharuka na kufunga mabao katika dakika 62 na David Nugent 62 kwa njia ya penaltiwakati Esteban Cambiasso aliongeza lingine dakika ya 64 huku Jamie Vardy akipachika bao dakika ya 79 kabla ya Leonardo Ulloa la tano dakika ya 83 njia ya penalti. LIVE !! LEICESTER CITY 5-3 MANCHESTER UNITED.
Manchester United walipata bao tatu dakika ya 57 kupitia kwa Aguera Ander Herrera lakini wachezaji wa Leicester walicharuka na kufunga mabao katika dakika 62 na David Nugent 62 kwa njia ya penaltiwakati Esteban Cambiasso aliongeza lingine dakika ya 64 huku Jamie Vardy akipachika bao dakika ya 79 kabla ya Leonardo Ulloa la tano dakika ya 83 njia ya penalti.

0 comments:
Post a Comment