BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LIVE !!! MANCHESTER UNITED YAONGOZA DHIDI YA LEICRSTER CITY KWA BAO 2-1 LIGI KUU YA UINGEREZA.

Angel di MarĂ­a runs at the Leicester defence.
Angel Di Maria akiwatoka walinzi wa Leicester dakika ya 16 na kufunga bao la pili kwa Man U ambapo Robin van Persie alitangulia kufunga bao la kwanza dakika ya 13 na kwenda mapumziko wakiwa mbele na ushindi wa bao 2-1.Leonardo Ulloa makes it 2-1.Mshambuliaji wa Leicester, Leonardo Ulloa akishangilia bao alilofungwa dakika ya 17na kwenda mapumziko Man U ikiongoza kwa bao 2-1.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: