BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LIVERPOOL KIMEO ! YATANDIKWA BAO 3-1 NA WEST HAM LIGI KUU YA UINGEREZA.

IMG_7374.PNG
Baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Manchester City, na Aston Villa – klabu ya Liverpool jana imejitupa uwanjani kucheza dhidi ya West Ham United katika dimba la Upton Park.
Liverpool ambao wamefanikiwa kushinda mechi moja tu dhidi ya Tottenham Hotspur, jana wamepokea kipigo kingine kutoka vijana wa Sam Allardyce.

Magoli ya Winstoin Reid dakika ya pili, Diafro Sakho dakika saba baadaye, kabla ya Morgan Amalfitano kushindilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Liverpool na kuifanya Liverpool kutandikwa bao 3-1.

Raheem Sterling alifunga goli la Liverpool la kufutia machozi..

VIKOSI.
West Ham: Adrian 6.5, Demel 6.5 (Jenkinson 61, 6), Tomkins 7, Reid 7.5, Cresswell 7, Noble 7.5, Kouyate 8, Song 7.5 (Amalfitano 69, 6.5), Sakho 7, Downing 7, Valencia 7 (Collins 76).
Subs Not Used: Zarate, Vaz Te, Jaaskelainen, Cole.
Booked: Reid, Adrian, Kouyate, Jenkinson.
Goals: Reid 2, Sakho 7, Amalfitano 88.
Liverpool: Mignolet 5, Manquillo 4 (Sakho 22, 5), Skrtel 5, Lovren 5, Moreno 5.5, Gerrard 5, Lucas 5 (Lallana 46, 7), Henderson 6, Sterling 7, Borini 5.5 (Lambert 75, 5), Balotelli 6.
Subs Not Used: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Markovic.
Booked: Balotelli.
Goals: Sterling 26.
Att: 34, 977.

Arsenal yahihenyesha Aston Villa kwa kuilaza bao 3-0.IMG_7373-0.PNG

Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti nchini humo.

Arsenal wakiwa ugenini Villa Park, walicheza dhidi ya Aston Villa, mayokeo ni ushindi kwa Gunners wa magoli 3-0.

Magoli ya Mesut Ozil, Danny Welbeck na goli la kujifunga la Aly Cissokho – yalikamilisha ushindi wa kwanza kwa Arsenal tangu waliposhinda dhidi ya Crystal Palace katika mechi ya kwanza.

VIKOSI.

Aston Villa 4-3-3: Guzan 6; Hutton 6.5, Senderos 6, Clark 6, Cissokho 6; Cleverley 6.5, Sanchez 6 (Bacuna 86min), Delph 7; Weimann 6 (Grealish 46, 6), Agbonlahor 6.5, Richardson 6 (N’Zogbia 77)
Booked: Clark
Subs not used: Given, Okore, Cole, Lowton.
Manager: Paul Lambert 6
Arsenal 4-2-3-1: Szczesny 7; Chambers 6.5, Mertesacker 7, Koscielny 7, Gibbs 7; Arteta 6.5, Ramsey 7 (Wilshere 78); Oxlade-Chamberlain 7 (Rosicky 78), Ozil 8, Cazorla 7; Welbeck 7.5 (Podolski 78)
Booked: Chambers, Ramsey, Wilshere
Subs not used: Ospina, Diaby, Sanchez, Coquelin

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: