BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

REAL MADRID YAIFUMUA DEPORTIVO LA CORUNA KWA KUIADHIBU BAO 8-0, CHRISTIANO RONALDO, CHICHARITO, BALE WASHINDANA KUPACHIKA MABAO.

Gareth Bale scores the first of his two second-half goals as Real Madrid stepped up their domestic form
Bale akifunga bao.


Kufuatia kupoteza mechezo miwili mfululizo dhidi ya Real Sociedad na mahasimu wao Atletico Madrid, jana kikosi cha Real Madrid kilijitupa uwanjani na kutupa karata yake kwa kucheza na Deportivo La Coruna.


Katika mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Riazor Stadium – dunia imeshuhudia Real Madrid wakiiadhibu bila huruma Deportivo kwa kuitandika bao 8 bila majibu huku mshambuliaji hatari Cristiano Ronaldo bao tatu pekee yake.

Mwanasoka bora huyo wa dunia na ulaya Cristiano Ronaldo alifunga mara 3, Gareth Bale akifunga mawili, wakati James Rodriguez akifunga goli moja na mshambuliaji aliyeazimwa kutoka Man United Javier Hernandez Chicharito naye akipachika bao mbili akitokea benchi na kukamilisha ushindi wa kihistoria wa 8-0.

VIKOSI.
REAL MADRID: Casillas; 6 Arbeloa, 6 Ramos, 6 Varane, 6 Marcelo; 7 Modric 6 (IIaramendi), Kroos, 6 Bale 8 (Hernandez), James, 7 Ronaldo; 8 Benzema 7 (Isco)
Subs not used: Coentrão, Navas, Carvajal, Nacho
Booked: Ramos
Scorers: Ronaldo 29′, 41′, 78′, Rodriguez 36′, Bale 66′, 74′, Hernandez 88′, 90′.


DEPORTIVO: Lux; 4 Laure, 5 Diakité, 5 Sidnei, 5 Luisinho; 5 Bergantiños, 5 Medunjanin; 6 Juanfran 5 (Juan Dominguez), Fariña 7 (Toche), Cuenca; 7 Postiga 5 (Cavaleiro)
Subs not used: Pablo, Canella, Agosto Ramírez, Lopo
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: